pole sana ila kutoka damu wakati wa uja uzito sio dalili nzuri.mimba nyengine huwa ni dalili ya mimba kutoka.huanza kutoka damu kidogo,siku ya 2 au ya 3,damu huwa nyingi.pamoja na maumivu ya tumbo kama la period.ila kuna mimba nyengine,damu hutoka kidogo na mimba huwa salama kabisa.muhimu kaonane na daktari wako na ukafanyiwe scan,ikibidi na blood test