Damu kwenye semen - nini tatizo?

ngirimjane

Member
Joined
Jun 17, 2014
Posts
8
Reaction score
1
Heshima yenu wanajukwaa, ninahisi nina tatizo, naomba ushauri wenu. usiku wa kuamkia leo nilipatwa na wet dream, asubuhi kulivyokucha wakati niko bafuni nimekuta semen zilizochanganyika na damu damu kwenye nguo yng ya ndani.

Nilishtuka kidogo coz sijawahi ona kitu kama hicho. Nililazimika ku masturbate ili nihakikishe kama kwenye semen kuna damu. Baada ya zoezi nilicofirm kama semen zimechanganyika na damu.

Naomba nielimishwe juu ya hili (km tayari nna parasites, wameniingiaje, na matibabu yake ni yapi?).

Help pls nahisi ni tatizo kubwa.

Nina miaka 30, sijaoa na sina kawaida ya kufanya ufuska/ngono zembe...
 
Pole mkuu, ngoja wataalam waje, ila kwa kukushauri.
1. Acha kutumia mayai ya kisasa.
2. Anya kula broilers
3. Fanya mazoezi
4. Punguza ulaji wa mafuta mafuta na ma blue band also punguza unywaji wa soda.

Siku hizi kuna evolution imetokea ya wanawake kuota ndevu na vipara na misuli, likewise wanaume kuwa na wowowo, sauti nyororo sasa isije ikawa unaingia kwenye period, nenda hospital mkuu.
 
"sasa isije ikawa unaingia kwenye period" - hii kubwa!!!!
Anyway, ngoja niwasubiri wataalam
 
MEN'S HEALTH
Blood in Semen (Hematospermia)
Seeing blood in the semen can make a
man anxious. Fortunately, it doesn't
always signal a major medical problem.
For men younger than 40 with no
related symptoms and no risk factors
for underlying medical conditions, blood
in semen often disappears on its own.
But for men 40 and over, chances are
higher that blood in the semen needs
evaluation and treatment. This is
especially true for men who:
Have repeated episodes of blood in
the semen
Have related symptoms while
urinating or ejaculating
Are at risk for cancer , a bleeding
disorder, or other conditions
Blood in the semen is called
hematospermia or hemospermia. When
men ejaculate, they typically don't
examine their semen looking for blood.
So it’s not known how common the
condition is.
Causes of Blood in the Semen
Blood in the semen can come from
several different sources:
Infection and inflammation. This is the
most common cause of blood in the
semen. Blood can come from an
infection or inflammation, in any of the
glands, tubes, or ducts that produce and
move semen from the body. These
include:
Prostate (the gland that produces the
fluid part of semen)
Urethra (the tube that carries urine
and semen from the penis )
Epididymis and vas deferens (tiny
tube-like structures where sperm
mature before ejaculation)
Seminal vesicles (which add more
fluid to the semen)
 

Noted, Thnx Meljons,
 

Noted, thnx Meljons
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…