Damu ya Hamza al Khatibu ilivyo nena Mei 2011 nakuanguka kwa utawala wa Assad

Damu ya Hamza al Khatibu ilivyo nena Mei 2011 nakuanguka kwa utawala wa Assad

TumainiEl

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2010
Posts
6,782
Reaction score
12,716
Ilikuwa ni Mei 2011 kijana mdogo katika mji wa Deraa mji mdogo nchini Syria karibu na mpaka wa Jordan.
Kama ilivyo tawala zaki imla kijana huyu mwenye umri wa miaka 13 alirudishwa kwa familia akiwa amecharangwa na umeharibiwa vibaya na maofisa usalama wa Syria baada yakuwa amekamatwa kwenye maandamano.

Ambapo kifo chake kilisababishwa nakuandika maandiko yakupinga utawala wa Assad kwenye kuta za shule. Maandiko yalio sababisha maandamano ktk Taifa la Syria.

Jambo utawala haukujuwa nikuwa dam yakijana yule haikupumzika iliendelea ku hant down Taifa mpaka mwaka huu Assad alivyo ondolewa madarakani na walio mwaga dam kulipa dam ile.
Sio kila dam niyakumwaga kuna dam ukimwaga inaliangusha Taifa haijalishi ni miaka mingapi. Tangu mwaka 2011 mpaka 2025 Assad hajapumzika nimwendo wa maandamano na mapinduzi yakinukia mpaka yalipo kuwa kweli. Tetesi zinasema uwenda na yeye Atalala. Muda na wakati sote hatujuwi.
Mama wa mtoto alisema maneno magumu ambayo leo yanetimia.

Ushauri
Taifa halijengwi juu ya misingi ya dam ya wanasiasa wa wataifa lake ila dhidi ya wahaini juu ya Taifa lao.
 
Acheni ujinga KIFO NI KIFO hao wamekufa vifo vyao na hamna direct relationship na any pay back in present time or future.

Sababu za utawala huo kuanguka zipo wazi kwa wenye akili timamu.

Mazombie acheni kujifariji hapa duniani hiyo theory ya KARMA ni ya kipumbavu na inaaminika kwa mazombie pekee.

#HAKUNA KITU KAMA KARMA WALA UJINGAUJINGA WA NAMNA HIYO. HII NI MOJA YA IMANI POTOFU NA YA KIJINGA ISIYO NA MASHIKO.
 
Back
Top Bottom