Damu ya hedhi ni hatari?

Columbus

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2010
Posts
2,002
Reaction score
651
Leo kuna jamaa mmoja nimemsikia akisema wanawake wa baadhi ya makabila hapa Bongo wanaitumia damu hii kuwaangamiza waume zao waliowachoka.

Alinitajia makabila hayo ambayo kwa kweli yana kashfa za kutozeeka na waume zao hasa pale wanapokuja kuwa na fedha. Ukienda mikoa fulani hapa Bongo utasikia yule mwanaume amewekewa limbwata,kwa majibu ya huyu jamaa tayari ameshawekewa.

Nawasilisha!
 
hata mimi nilishawahi kusikia kwamba ni sumu hataree😛anda:
 
Kama una mke or mchumba jaribu kufanya majaribio ya kivitendo???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…