Damu hiyo ni tofauti na inakua ni kwa ajili ya kurutubisha mbegu ya kiume iwapo itatokea.Hakuna dam za aina mbili mwilin kwahyo kama ana magonjwa na dam hyo lazma inakuwA nayo tuu
Mtoto hatumii damu ya mama akiwa tumboni!Damu hiyo ni tofauti na inakua ni kwa ajili ya kurutubisha mbegu ya kiume iwapo itatokea . Ingekua damu hiyo hubeba magonjwa yote basi mtoto angezaliwa na maambukizi ila haiko hivyo badala take maambukizi hutokea wakati Wa kujifungua.