Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Halafu ukijua na kuicheza Lambada tena kwa madaha ni raha kubwa sana. Hadi hii leo zikipigwa nyimbo kama hizi bado zinawainua watu wengi kwenye viti vyao. Naangalia final ya Dancing with the Stars ABC sasa hivi kuna huyu binti Mya aliicheza vizuri sana lambada, I hope ndiye atakayeukwaa ubingwa.
Aaaah mazee Mya mtamu sana. Ila nina shaka kama atashinda kwa sababu fanbase yake si kubwa kama ya yule binti wa Ozzy Osbourne na yule Donny Osmond
Ila Lambanda safi sana aisee. Yaani ni muziki wa kuriwadha na kukufanya usahau matatizo yako kwa muda. I miss those days