Dancers wa Snura wanatumia mbolea gani kurutubisha misambwanda yao? Maana ni ya kiwango cha SGR

Acha usenge sasa tutajuaje bila kapicha!
 
Nitarudi kuchangia kama itawekwa picha, msisahau kunitag penye picha
 
Nimekuja kasi nkajua kuna picha wee jamaa wewe hujatutendea haki unadhoofisha huu uzi au wanafanana na huyu
 
Halafu snura anasema huwa wanakuja wembamba baadae wananenepa, kuna kitu atakuwa anawapa sio bure.
 
Anawapatia huku uswahilini yapo kibao tu,na kusema dar ndo kinaongoza kwa misambwanda tafiti yako umeifanya lini?,umeenda mwanza?
 
Mali bila daftari hupotea bila habari, na ‘uzi’ bila ‘tupicha’ inakuwa sio habari kamili.
Weka hiyo ‘Misambwanda’ tuithaminishe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…