Dancers wa Snura wanatumia mbolea gani kurutubisha misambwanda yao? Maana ni ya kiwango cha SGR

Uso samisago si mchicha mwiba....
hapa misambwanda ipo kwa sababu ya mchangamano wa kabila nyingi.
ila tukisema mijimakalio Mbeya wanashika bendera, Shepu kanda ya ziwa tunajitahidi sana. Sura nzuri ziko singidani,wembamba kabisa watu wa mwambao
 
picha
 
Sio mbwakoko mzee, nilisikia anakamuaga Mwasiti, mademu wa vile ndo mikato yake. Yaani yeye mzuri kuliko demu wake
 
Anawapatia huku uswahilini yapo kibao tu,na kusema dar ndo kinaongoza kwa misambwanda tafiti yako umeifanya lini?,umeenda mwanza?
Misambwanda ya mwanza Sio ya sgr ndo tatizo
 
yani nimeanza kusoma comment ya kwanza mpaka ya mwisho afu sijaona picha daaaah
 
Sio mbwakoko mzee, nilisikia anakamuaga Mwasiti, mademu wa vile ndo mikato yake. Yaani yeye mzuri kuliko demu wake
oh mm niliskia kwa presenta mwenzie nilivoenda kufanya interview
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…