Wakati wa uchaguzi wa 2010 serikali kupitia wakala wake dawasco iliipatia kampuni moja ya kichina kazi ya kusambaza bomba maeneo mengi hapa jijini.wakati uchuguzi ulipokuwa unakaribia bomba hizo zilitiririsha maji bila kukoma.cha kushangaza baada tu ya matokeo kutoka yaani november 2011 mpaka leo hii,bomba hizohizo hazidondoshi hata tone la maji.kama hii sio kutufanya tuteme big gee kwa kuonjeshwa karanga ni danganya toto kwa pipi ili mradi alale/atulie