Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikweli lakini amecheza mechi ngapi from _Dortmund na Manchester anakocheza saiv na Bado anafunga magoli..? Tuseme uleudhaifu was mabeki watimu pinzani ndio unaosababisha yeye kuwa maarufu zaidi na ukilinga Nisha umri alionao[emoji848]Halaand magoli yake mengi yanatokana na kuweza kukaa kwenye nafasi. Hana maajabu sana.
Ndio maana inabidi apewe muda kwasababu ikitokea timu zikakaba nafasi anaweza kuingia kwenye ukame wa kufunga.
Mchezaji ajulikanaye kwajina HAALAND mwenye umri wa miaka 21 amezidi kua tishio Duniani swali ni KWAMBA je HAALAND ni tishio? Kama watu wanavyo dai
Uefa ana goli 3 ....kacheza game 2...Uefa champions league ana magoli mangapi?
Kama hajaongoza kuwa na magoli mengi UEFA CHAMPIONS LEAGUE Huyo ni wakawaida tu.