Hali hii inachangiwa na wakandarasi wanaojenga chini ya viwango kwa sababu wakubwa waliowapa kazi wanataka mgao wao. Mwisho wa siku daraja linaonyesha limit ya tani 7 hata waliobeba tani 12 wanataka wapite. Si mnajua kinachoendelea kwenye mizani ya barabarani? Wizi mtupu!