mwanamichakato
JF-Expert Member
- Mar 20, 2015
- 1,188
- 1,090
Mwanaviwanda mwenye uthubutu mkubwa ktk uwekezaji mkubwa ktk viwanda Afrika na Tanzania tukiwa wafaidika.
✅Amejenga Afrika Kiwanda kikubwa cha Cement duniani..Akiwekeza mabilioni ya dola..
✅Amejenga kiwanda cha mbolea kikubwa kikiwa namba 2 duniani
✅Amejenga mitambo ya kusafisha mafuta (Refinery) kubwa duniani (Namba 2) kazidiwa na Qatar akiwekeza zaidi ya dola bilioni 18.
✅Mitambo ya kusindika gas pia amewekeza mabilioni ya fedha..
✅Kwa sasa ndio mwajiri namba moja nchini Nigeria..na Mlipa kodi mkubwa kuliko Bank zote (Zikiunganishwa kwa pamoja)ktk taifa la Nigeria ..
N.k n.k
Hakika Aliko Dangote ni mwekezaji lulu kwa maendeleo ya uchumi wa Afrika Tanzania ikiwemo..Tuainishe maeneo makubwa yanayohitaji uwekezaji mkubwa na aombwe kwa heshima na unyeyekevu kuja kuwekeza ktk taifa letu..
Vikwazo na urasimu usio na lazima vitolewe na wawekezaji magwiji na wakubwa walindwe kwa dhati.