The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 8,082
- 17,838
Nadhani Aliko Alhaj Dangote hakuwafahamu vizuri kabila la Oromo ambalo wa Ethiopia wengine wanawaita barbaric kwa kuenda kujenga kiwanda chake cha Sementi kwenye ardhi yao ya Oromia.
Yeye alikula deal na watu wa Serikali lakini wa Oromo wakamuwekea masharti jinsi ya kukiendesha hicho kiwanda wakitaka wakurugenzi na mameneja wote wawe wa oromo pamoja na asilimia 80% ya wafanyakazi.
Dangote hakufanya hivyo akawaleta wahindi. Tayari hao wahindi wakurugenzi watatu walishauliwa kwa kupigwa risasi wakiwa kwenye gari kuelekea Addis Ababa.
Wafanyakazi wageni wote wanaishi kwa hofu na kujificha. Magari ya kampuni yanachomwa moto mara kwa mara.
Anataka kukukifunga hicho kiwanda.