Dangote Cement penetrates giant Kenyan Cement Market


CHAZA uko sahihi kabisa. Nilipata fursa ya kusoma mara mbili Rasimu ya Pili ya Katiba ya Warioba na mpaka leo najiuliza, je uzalendo wa viongozi wa CCM (walioikataa hiyo rasimu) uko wapi?

Katika kufutilia inawezekanaje vigogo wote wa CCM waipinge rasimu ambayo kiuwazi kabisa inaweka maslahi ya taifa mbele, nikakutana na hii nukuu ya James Freeman Clarke:

"The difference between a politician and a statesman is that a politician thinks about the next election while the statesman thinks about the next generation".

Ukweli ni kwamba hatuna viongozi wa kitaifa (statesmen) katika maana yake halisi katika nchi hii; tuna wanasiasa maslahi tu. Na hii inatokana na kutokuwepo taasisi huru, imara na thabiti za kisiasa (vyama vya siasa, tume ya uchaguzi, nk) vya kuhakikisha nchi inapata viongozi wa kweli.

Mfumo iliopo unatoa tu fursa, kwa mfano, kwa rais aliyeko madarakani kuhakikisha anaanda timu na mazingira vitakavyomrahisishia kurudi madarakani baada ya uchaguzi unaofuata, kama kipaumbele chake. Mambo ya ustawi wa wananchi siyo kipaumbele na ndio maana kuna hii kadhia ya kiwanda cha Dangote.
 
Moderate , mnacho Fanya sio poa hata kidogo Jana niliandika kuna tetesi ya kiwanda cha dangote kuamia Kenya ila hiyo nyuzi mliitoa

Haya Leo yamekuja mengine please mrudishe ile nyuz
 
Some people are very insane and they think that being in power means destroying all the previous plans and erecting the new ones..!!
If we do not posthaste change; we are going the Zimbabwe's way..!!
 

HIVI NI KWELI HUYU MHESHIMIWA ALISEMA HAYA MANENO?
 
Hakuna haja ya kusuguana ni suala la kukaa chini na kuzungumza na uzalishaji uendelee
 
Mimi yangu macho na masikio.Lakini Nina imani kuna jambo kubwa kuliko anayosema waziri na Dangote hadharani .Hapo lazima mikono ya mafisadi Wa bongo IPO tu.
Hata mimi ninahisi kuna jambo kubwa aa kifidadi nyumba yake ambalo lilikubariwa uongozi uliopita sema dangote hawezi sema na mawaziri hawasemi ila kuna jambo.
 
Hizi zote kelele tuu za kukosa ulaji,jamaa hakuwa msafi,unyonyaji ndio uliomleta haraka haraka.
 
Sijui kundi la watawala wa jamii zile walilewa wakiwa tumboni au?yetu macho Tanzania na sizitaki mbichi hizi.....aheri ya jana kuliko leo.
 
Nafikiri ni viwanda vya kubambikizia watu kesi na kudhurumu haki zao......hiyo ndo imepamba moto.
 
Kuna ishu kubwa nawasiwasi nayo itakuwa ipo nyuma ya Dangote
 
Kama ni kweli basi hivi ndivyo Kenya wanavyosawazisha bao la Bomba la Mafuta tulilowapoka kinywani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…