Strong ladg
Senior Member
- Jul 15, 2021
- 170
- 445
Habari njema kutoka Angola ni kwamba Bilionea raia wa Nigeria Aliko Dangote anatarajiwa kuwekeza kwenye ujenzi wa kiwanda cha kuchakata mafuta cha Lobito ( Lobito Refinery).
Hayo yameelezwa kupitia taarifa iliyotolewa na ubalozi wa Angola nchini Nigeria baada ya Bilionea huyo kukutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Angola Joao Lourenço wakati wa ziara yake nchini Angola iliyofanyika wiki iliyopita.
Vilevile Bilionea Dangote anatarajiwa kuwekeza katika viwanda vya saruji na tayari amefungua tawi la Kampuni yake litakaloshughulikia uwekezaji wa kampuni ya Dangote nchini humo
=============
Buoyed by the global impact of his 650,000 barrels per day refinery and petrochemical plant, Africa’s richest man and President of Dangote Group, Aliko Dangote has held talks with Angolan President João Lourenço to wrap up a deal for the construction of a new refinery in the Southern African country, THISDAY has learnt.
Vyanzo/Sources:
Arise News
Forbes Africa
"Angolan President Lourenço, Dangote Wrap Up Deal For Construction Of New Refinery - Arise News" Angolan President Lourenço, Dangote Wrap Up Deal For Construction Of New Refinery - Arise News
"Nigerian Tycoon in Angola to Formalize Investment in the Lobito Refinery - Forbes Africa" https://www.forbesafrica.com/curren...-formalize-investment-in-the-lobito-refinery/