Dangote: Mega corruption discouraged me from investing in Kenya

Huyo ni one of our many fans supporting our publications ...He contributes to our economy positively albeit without knowledge.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
At least kwa miaka miwili tumepumua kuongelea ufisadi TANZANIA...Ukisikia ufisadi basi ujue watu wanapelekwa kisutu.

Sema mwizi asiwe timu ya mzee wa Chattle!

Wote walio nje ya Chattle wakiiba ni ndani ila wa ndani ya mzee wa chattle hagusi hata kituo cha polisi!!
 
Weka data acha kujiliwaza kila mtu akizungumza ukweli kuhusu Kenya anakuwa mtanzwnia?, huyu ameripoti alichokisema Jeff Koinange, kosa lake ninini?, the trueth is Kenya is more corrupt than Naigeria.
Mimi sikatai kamwe kenya ni corrupt ila mnigeria ni mtu wa kumyoshea mtu kidole amuite mfisadi kweli??? ??
 
Tuoneshe wezi walio ndani na nje ya mzee chato.

Muulize Mnyeti alietoa rushwa kwa pesa ya serikali kununua madiwani Arusha!

Pia muulize Bashite!

Sijui hawa kama walishawahi fika hata kituo cha polisi kwa mahojiano tu!

Im waiting
 
Muulize Mnyeti alietoa rushwa kwa pesa ya serikali kununua madiwani Arusha!

Pia muulize Bashite!

Sijui hawa kama walishawahi fika hata kituo cha polisi kwa mahojiano tu!

Im waiting

Ushahidi ndiyo shida hapo.
Kumtia mtu hatiani kwa rushwa unahitaji uthibitisho ulio dhahiri shahili. video au audio si ushahidi unaoaminiwa mahakamani.
 
Ushahidi ndiyo shida hapo.
Kumtia mtu hatiani kwa rushwa unahitaji uthibitisho ulio dhahiri shahili. video au audio si ushahidi unaoaminiwa mahakamani.

Listen to this despicable clown....

Umejisikia unachoongea kweli?

Ushahidi unaokubalika mahakamani ni upi?Taja mmoja kwa tukio la rushwa kama la Mnyeti!

Taja halafu ujione ulivyo m-lumumba!
 
Listen to this despicable clown....

Umejisikia unachoongea kweli?

Ushahidi unaokubalika mahakamani ni upi?Taja mmoja kwa tukio la rushwa kama la Mnyeti!

Taja halafu ujione ulivyo m-lumumba!

Anyways hayo ya madiwani sijui mnyeti siyo kipaumbele changu kwa NCHI yangu.

Ni maendeleo tu.
 
Muulize Mnyeti alietoa rushwa kwa pesa ya serikali kununua madiwani Arusha!

Pia muulize Bashite!

Sijui hawa kama walishawahi fika hata kituo cha polisi kwa mahojiano tu!

Im waiting
Unaongelea Ule ushahidi wa vifaa vya Australia?
 
Wacha kukurupuka soma habari ya hao investors, wametoa ilani kwamba serikali iwapatie 25% discount on importation ili wawekeze. Hiyo ni ndoto, serikali yenyewe haikusanyi kodi ya kutosha, 50% ya kodi iliyokusanywa inaenda kulipa madeni ya miradi hewa
pia hawatalipa kodi Kwa miaka 15
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…