Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 9,397
- 12,415
Ni kweli mkuu, wachina ni wachuuzi sio wawekezaji.Hata Dangote Cement tuu ya huko Ntwara ni uwekezaji mkubwa sana.
Pale Goodwill - Mkiu, uwekezaji ambao kama usingedalaliwa na viongozi wakubwa, basi ungekuwa mradi wenye maana sana kwa Tz.
Unafanya kazi gani ?Linapokuja swala la userious kwenye uwekezaji wachina hawako seriously kabisa.
Mpaka sasa tangu wameanza kuingia hapa Tanzania sijaona mradi hata mmoja walio wekeza zaidi ya kamari na kufungua fremu za biashara za kodi ya millioni 2 hadi 3.
Hebu angalia Dangote mradi aliowekeza huko Nigeria. Mradi unaonyesha kabisa huyu bwana yupo seriously japo ni mwaafrika.
View attachment 3308896
Ni wakati wa kuwa selectively kwa wawekezaji wanao kuja katika taifa letu. Kama mtu hana mtaji wa kutosha na ni mgeni na anatamani kuendelea kuishi katika taifa letu ni bora kumpeleka kwenye kambi za wakimbizi ili ijulikane ni mkimbizi kiuchumi.
Hawahawa wachina ndio tunawaona wanajitutumua kubishana na Marekani. Mmarekani hawezi kuwekeza kwenye biashara zinazo ingiza mia tano mia tano.
Wachina hawana mitaji tuangalie mahali pengine.
Angalia hapa:
Pato la wastani la mchina kwa mwaka TZS Millioni 32.
Kwa pato hilo uwezekano wa kupata mtaji wa kuwekeza kwenye miradi mikubwa ni mdogo sana. Na ukumbuke nchi ya China inafuata mfumo wa ujamaa (mgawanyo sawa wa rasilimali). Huo mtaji wa kuwa na Billioni 250 anaupata wapi.
Ukiangalia wenzetu Marekani pato la mmarekani kwa mwaka ni TZS ni Millioni 222, huyu bwana akijichanga anaweza fikisha billioni 50 ndani ya muda mfupi tu. Na nchi inafuata mfumo wa ubapali watu wanatafuta pesa na zinapatikana wanazihifadhi.
Sasa ndio sababu tunawaona hawa wenzetu wanashindwa kuwekeza kwenye miradi mikubwa.
Kwenye medias tunaona wanasema wapo vizuri kitekinolojia mbona hatuioni hapa Tanzania. Basi kama wameshindwa kuwekeza watumie hata akili zao wawekeze kwenye teknolojia ili watu wetu waige. Cha ajabu bado wanan'gan'gania kuuza bidhaa, na kwenye kamari.
Kazi yangu ni kushauri mambo yanapokua hayaendi sawa.Unafanya kazi gani ?
Ni kweli bossIla matajiri wa kwenye teknolojia ni hatari sana. Dangote na viwanda vyake vyote ndo kama 10% ya utajiri wa kina Mark Zuckerberg na wakali wengine walioko top ten ya matajiri.
Wanaleta vifaa na wafanyakazi ila hawaleti pesa.Wachina ndiyo wanajenga miundombinu karibu yote Africa....Kila mwaka wanasafirisha mabilioni ya fedha kwenda kwao.
Tatizo la sisi watanzania kila mgeni mwenye ngozi nyeupe huwa tunamwita ni mwekezaji.Ni kweli mkuu, wachina ni wachuuzi sio wawekezaji.
Mambo gani hayaendi sawa ?Kazi yangu ni kushauri mambo yanapokua hayaendi sawa.
Mchina anaekuja kuwekeza bongo ni mchuuz mzee. Wachina nenda Indonesia au Malaysia, au nchi zenye uchumi wa aina hiyo sio uchumi huu wa ccm usiotabirika. Akiingia rais huyu anavuruga kila kitu, akiingia mwingine anajenga. Kuweni na katiba na sera mbadala mtawaona wawekezaji sio hiz mahakama zetu kama alivyosema Rostam. Asilimia 90 ya wanaoitwa wawekezaji wanaokuja Tanzania ni wale vidagaa vilivyoshindwa kupambana na mapapa huko kwao so wenzetu wenye akili wakawatengenezea mazingira ya kwenda kupumulia. Na kuiba. Mchina mimi siwapingi kwasababu mbili kubwa.Linapokuja swala la userious kwenye uwekezaji wachina hawako seriously kabisa.
Mpaka sasa tangu wameanza kuingia hapa Tanzania sijaona mradi hata mmoja walio wekeza zaidi ya kamari na kufungua fremu za biashara za kodi ya millioni 2 hadi 3.
Hebu angalia Dangote mradi aliowekeza huko Nigeria. Mradi unaonyesha kabisa huyu bwana yupo seriously japo ni mwaafrika.
View attachment 3308896
Ni wakati wa kuwa selectively kwa wawekezaji wanao kuja katika taifa letu. Kama mtu hana mtaji wa kutosha na ni mgeni na anatamani kuendelea kuishi katika taifa letu ni bora kumpeleka kwenye kambi za wakimbizi ili ijulikane ni mkimbizi kiuchumi.
Hawahawa wachina ndio tunawaona wanajitutumua kubishana na Marekani. Mmarekani hawezi kuwekeza kwenye biashara zinazo ingiza mia tano mia tano.
Wachina hawana mitaji tuangalie mahali pengine.
Angalia hapa:
Pato la wastani la mchina kwa mwaka TZS Millioni 32.
Kwa pato hilo uwezekano wa kupata mtaji wa kuwekeza kwenye miradi mikubwa ni mdogo sana. Na ukumbuke nchi ya China inafuata mfumo wa ujamaa (mgawanyo sawa wa rasilimali). Huo mtaji wa kuwa na Billioni 250 anaupata wapi.
Ukiangalia wenzetu Marekani pato la mmarekani kwa mwaka ni TZS ni Millioni 222, huyu bwana akijichanga anaweza fikisha billioni 50 ndani ya muda mfupi tu. Na nchi inafuata mfumo wa ubapari watu wanatafuta pesa na zinapatikana wanazihifadhi.