Daniel Chapo aapishwa kuwa Rais wa Msumbiji

Daniel Chapo aapishwa kuwa Rais wa Msumbiji

Kuna watu wasiojua siasa za Afrika eti kwa tule tuvurugu twa wahuni wakafikiri Rais hataapishwa! Wanasahau Raila Odinga wa Kenya, Kiiza Besigye wa Uganda, Lissu wa Tanzania waliishawahi kukataa chaguzi, wakaishia kupiga kelele tu. Wakati Mondlane alitoka ulimbizini kuhakikisha Chapo haapishwi, Lissu yeye alikimbilia Ubeleji kuhakikisha Mwamba Magufuli haapishwi! Ahahahahaha!!!
 
Back
Top Bottom