Daniel Kaluuya anajua sana

Daniel Kaluuya anajua sana

Red Giant

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Posts
15,657
Reaction score
20,967
Huyu jamaa nimemcheki kwenye get out na Judas and the black Messiah anaijua kazi yake. Ni muingereza mwenye asili ya Uganda. Kwenye Get out alikuwa nominated tuzi za Oscar. Kwenye Judas and the black Messiah kapata Oscar

Baada ya Lupita na huyu nafikiri ni wakati wa mtu mwenye asili ya Tanzania kupata Oscar.

800px-Daniel_Kaluuya_by_Gage_Skidmore.jpg
 
Huyu jamaa nimemcheki kwenye get out na Judas and the black Messiah anaijua kazi yake. Ni muingereza mwenye asili ya Uganda. Kwenye Get out alikuwa nominated tuzi za Oscar. Kwenye Judas and the black Messiah kapata Oscar.

Baada ya Lupita na huyu nafikiri ni wakati wa mtu mwenye asili ya Tanzania kupata Oscar.

View attachment 1777979
Wanafanya vema, lakini bahati mbaya sana tuzo haziji kwa kupokezana vijiti ama uenyekiti wa EAC. Kwamba ilikuwa Kenya, ikaja Uganda na sasa Tanzania. La hasha!

Bali ni kwa kufanya kwa kiwango kikubwa kuwazidi wengine. Wengi mtafanya vizuri lakini ili uwe mshindi, washinde waliofanya vizuri.

Bado sana kwa Tanzania.
 
Sijaicheki hiyo muvi hua nadharau muvi za Netflix..
Hata critics wanazidharau sana, lakini ukiangalia unakuta raia wanazipenda mno. Kuna article ilikuwa inazungumzia hiyo bias ya critics kwenye hizi movie. Siku hizi naziheshimu sana.
 
Bonge la Handsome, hakika yupo vizuri kila idara. Kabarikiwa mno.
 
Back
Top Bottom