Wanafanya vema, lakini bahati mbaya sana tuzo haziji kwa kupokezana vijiti ama uenyekiti wa EAC. Kwamba ilikuwa Kenya, ikaja Uganda na sasa Tanzania. La hasha!Huyu jamaa nimemcheki kwenye get out na Judas and the black Messiah anaijua kazi yake. Ni muingereza mwenye asili ya Uganda. Kwenye Get out alikuwa nominated tuzi za Oscar. Kwenye Judas and the black Messiah kapata Oscar.
Baada ya Lupita na huyu nafikiri ni wakati wa mtu mwenye asili ya Tanzania kupata Oscar.
View attachment 1777979
Hata critics wanazidharau sana, lakini ukiangalia unakuta raia wanazipenda mno. Kuna article ilikuwa inazungumzia hiyo bias ya critics kwenye hizi movie. Siku hizi naziheshimu sana.Sijaicheki hiyo muvi hua nadharau muvi za Netflix..
Nilivyo isikia tu jina nikajua ni bonge la funny movie kumbe ina husu ma revolutionistSijaicheki hiyo muvi hua nadharau muvi za Netflix..