Daniel Sillo achaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Bunge

Daniel Sillo achaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Bunge

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2020
Posts
2,833
Reaction score
1,301
Mbunge wa Babati Vijijini, Mhe. Daniel Sillo amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Bunge na kuchukua nafasi iliyoachwa wazi na Mhe. Mussa Zungu aliyechaguliwa kuwa Naibu Spika wa Bunge.

WhatsApp Image 2023-04-04 at 14.54.14.jpeg


Leo Jumanne April 4, 2023 Bunge kwa kauli moja limewapitisha Mhe. Najma Giga (Viti Maalum), Mhe. David Kihenzile (Mufindi Kusini) na Mhe. Daniel Sillo kuwa Wenyeviti wa Bunge baada ya kupitishwa na Kamati ya Uongozi.

Hata hivyo Wabunge Mhe. Kihenzile na Mhe. Najma walikuwa Wenyeviti wa Bunge kabla ya leo ambapo kipindi hicho walikuwa watatu akiwepo Mhe. Mussa Zungu ambaye sasa ni Naibu Spika.
 
Back
Top Bottom