ZE NDINDINDI
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 1,885
- 4,012
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Samahani mkuu, wewe umeshaoa?? Naona umeongea mengi ya kufikirika ambayo naamini hata wewe huwezi kuyaweka katika uhalisia. Isije ikawa unaongea kibabe kwny social media, ila yakikukuta wewe unajinyonga...!!Sasa ' umebanduliwa ' Mke / Demu halafu tena umepigwa hadi Kufa na unaenda ' Kuzimu ' kuchomwa moto. Kwani huyo Marehemu angeacha tu Mkewe / Demu wake ' abanduliwe ' lakini baadae ' Mbunye ' yake atairudisha Kwake na Yeye angeendelea tu ' Kuibatua ' vile vile kama kawa kingeharibika nini? Marehemu ni Bonge la ' Popoma ' kiukweli. Hakuna Demu / Mke wa Mtu ambaye ' hachepuki / habanduliwi ' na ' Masela ' wa nje ila cha msingi tu ni kwamba Wewe ' uchune ' na kama vipi na Wewe ' wabandulie ' wengine Wapenzi wao na ngoma itakuwa ' droo '.
Tuheshimu basi, watu tunajitambua halafu unasema hakuna mwanamke ambaye haliwi nje...Sasa ' umebanduliwa ' Mke / Demu halafu tena umepigwa hadi Kufa na unaenda ' Kuzimu ' kuchomwa moto. Kwani huyo Marehemu angeacha tu Mkewe / Demu wake ' abanduliwe ' lakini baadae ' Mbunye ' yake atairudisha Kwake na Yeye angeendelea tu ' Kuibatua ' vile vile kama kawa kingeharibika nini? Marehemu ni Bonge la ' Popoma ' kiukweli. Hakuna Demu / Mke wa Mtu ambaye ' hachepuki / habanduliwi ' na ' Masela ' wa nje ila cha msingi tu ni kwamba Wewe ' uchune ' na kama vipi na Wewe ' wabandulie ' wengine Wapenzi wao na ngoma itakuwa ' droo '.