Dansa wa Twanga Pepeta adaiwa kuua mume wa mchepuko wake

Jamaa alienda anza IDD... Pole Mume...
 

Sasa ' umebanduliwa ' Mke / Demu halafu tena umepigwa hadi Kufa na unaenda ' Kuzimu ' kuchomwa moto. Kwani huyo Marehemu angeacha tu Mkewe / Demu wake ' abanduliwe ' lakini baadae ' Mbunye ' yake atairudisha Kwake na Yeye angeendelea tu ' Kuibatua ' vile vile kama kawa kingeharibika nini? Marehemu ni Bonge la ' Popoma ' kiukweli. Hakuna Demu / Mke wa Mtu ambaye ' hachepuki / habanduliwi ' na ' Masela ' wa nje ila cha msingi tu ni kwamba Wewe ' uchune ' na kama vipi na Wewe ' wabandulie ' wengine Wapenzi wao na ngoma itakuwa ' droo '.
 
Samahani mkuu, wewe umeshaoa?? Naona umeongea mengi ya kufikirika ambayo naamini hata wewe huwezi kuyaweka katika uhalisia. Isije ikawa unaongea kibabe kwny social media, ila yakikukuta wewe unajinyonga...!!

All I know ni kwamba WE DIFFER IN HANDLING ISSUES...!!! Kitu ambacho wewe unachukulia poa, kuna mwenzako kinamtesa hata kma ni kdg kiasi gani.
 
Tuheshimu basi, watu tunajitambua halafu unasema hakuna mwanamke ambaye haliwi nje...
 
Dah, kosa hapo sio la dancer kosa ni la mwanamke, kwani hakujua kama ana Mume,
 
Hawezi pata adhabu mbaya, alikuwa anajihami baada ya kulaghaiwa na mwanamke
 
Jela ileeeeeee[emoji24] [emoji24] [emoji24]
 
Yaani ndio michepuko imepata nguvu hivi hadi kuuwa jiwe la msingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…