Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 11,936
- 15,196
Mchezaji wa simba che malone alisababisha ajali na kumua dereva wa bodaboda katika ajali iliyotokea mikocheni juzi.
Havari zilizopatikana kutoka eneo la tukio zinasema mchezaji huyo alikuwa akitokea masaki kula bata kwenye pati
Aidha imebainika kwamba si kweli kwamba mchezaji huyo alitoka uwanja wa ndege bali alitoka kwenye starehe.
Waandishi wa habari wa Tanzania na wachambuzi kweli wameshindwa kuripoti hili tukio?
( chanzo, bodaboda eneo la tukio)