Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 11,936
- 15,196
Mkuu weka picha mkuu ni muhimu sanaa...Mchezaji wa simba che malone alisababisha ajali na kumua dereva wa bodaboda katika ajali iliyotokea mikocheni juzi.
Havari zilizopatikana kutoka eneo la tukio zinasema mchezaji huyo alikuwa akitokea masaki kula bata kwenye pati
Aidha imebainika kwamba si kweli kwamba mchezaji huyo alitoka uwanja wa ndege bali alitoka kwenye starehe.
Waandishi wa habari wa Tanzania na wachambuzi kweli wameshindwa kuripoti hili tukio??
( chanzo, bodaboda eneo la tukio)
Hata wewe unaweza tu kuripoti, ila uongezee kwa kuweka picha yako humuWaandishi wa habari wa Tanzania na wachambuzi kweli wameshindwa kuripoti hili tukio??
Elfu 30 fainiSheria ifuate mkondo
Siyo kama ulilewa.Elfu 30 faini
povu la nini wakati mleta habari katimiza lengo lake kuhabarisha? Hayo ya usahihi ni sisi walaji wa habari kuchakata na kujua usahihi. Masuala ya lugha imetumikaje kuleta habari haitumizi kichwa habari ndiyo hiyo imetufikiaHivi simba na Yanga ndio zinawatoa akili hivi?
Title, imeandikwa kipambe sana hiyo.......
"Amesababisha ajali na kuua" ukiwa hauna uhakika hata na kilichotokea maana hukuwepo.
"Ametoka kwenye starehe" na wala hukuwepo, boda boda watajuaje mtu alikotoka?
Mnapenda kujiaibisha sana.
Sawapovu la nini wakati mleta habari katimiza lengo lake kuhabarisha? Hayo ya usahihi ni sisi walaji wa habari kuchakata na kujua usahihi. Masuala ya lugha imetumikaje kuleta habari haitumizi kichwa habari ndiyo hiyo imetufikia
Kwanini tukuamini wewe?Mchezaji wa simba che malone alisababisha ajali na kumua dereva wa bodaboda katika ajali iliyotokea mikocheni juzi.
Havari zilizopatikana kutoka eneo la tukio zinasema mchezaji huyo alikuwa akitokea masaki kula bata kwenye pati
Aidha imebainika kwamba si kweli kwamba mchezaji huyo alitoka uwanja wa ndege bali alitoka kwenye starehe.
Waandishi wa habari wa Tanzania na wachambuzi kweli wameshindwa kuripoti hili tukio??
( chanzo, bodaboda eneo la tukio)
Kabisa, traffic case, hakuna murder hapo, labda kama hakuwa na a valid driving licence.Elfu 30 faini
Kwa sababuKwanini tukuamini wewe?
Research hujibiwa kwa researchKwanini tukuamini wewe?