Dar: Ali Kiba apiga kura uchaguzi serikali za mitaa

Dar: Ali Kiba apiga kura uchaguzi serikali za mitaa

Precious Diamond

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2023
Posts
593
Reaction score
1,376
Wakuu,

Mfalme wa muziki wa Bongo Flava na Rais wa CROWN MEDIA Ali Kiba ameshiriki zoezi la kupiga kura katika kituo alichojiandikisha leo Novemba 27.

 
huyu jamaa hazeeki anacheze 45+ huyu lakin kama kijana wa29
 
Back
Top Bottom