Kama kichwa cha habari kinavyojieleza zipo jumla lita 2000 yaani dumu 100 za asali mbichi original ya nyuki wakubwa ujazo wa lita 20.
Mazungumzo kidogo kwenye bei yapo karibuni.
Dar es Salaam pia miko mingine kwa utaratibu maalumu.
0626446244
Picha ya madumu?
Asali inakaguliwa physcally sasa kwa picha utajuaje kama ni mbichi au ya kuchemshwa.
Kikubwa hakuna malipo kabla kukagua mzigo na kujiridhisha.
Anyway ili kuendana na mazoea ya wengi nitaupdate photos badae.