informer 06
Senior Member
- May 11, 2024
- 184
- 170
Hii nchi inafurahisha sana kama sio yako, ukiwa unaisikiliza kwenye vyombo vya habari inafurahisha sanaMhhh daah aisee kazi ipo..
Harafu unashangaa TRA wapo busy mtaani eti wanasaka kodi ambazo zinachezewa tu na hakuna anaehoji.Hii nchi inafurahisha sana kama sio yako, ukiwa unaisikiliza kwenye vyombo vya habari inafurahisha sana
Wanazisaka kwa nguvu ili wawapelekee nyingi zaidi za kuchezeaH
Harafu unashangaa TRA wapo busy mtaani eti wanasaka kodi ambazo zinachezewa tu na hakuna anaehoji.
Hivi hizi figure wanazotuwekea wanakuwa wapo serious au wanatania tu?
Maana kwa pesa zinazotajwa na hiko kidaraja kinachojengwa hapo ni kama mbingu na ardhi.
Hivi daraja la mto wami lilitengenezwa kwa kiasi gani?
Na madudu yote haya yanayotokea hautakuja kuwasikia wakitoa tamko lolote wao wapo kwenye ukusanyaji tu ili wahuni wazichezee sioni hata haja ya kuongeza kodi kibao huku zikiibiwa.Wanazisaka kwa nguvu ili wawapelekee nyingi zaidi za kuchezea
Hili daraja lilianza kujengwa 2018 chini ya utawala wa Jiwe.
mbungeBilioni 24 😭😭
ccm huwa wanakula kuanzia ngazi ya kata, huko kata wameachiwa madiwani,wabunge ,wakaurugenzi wa wilaya, halafu kule juu wanakubali wenyeweKuleni bila kunawa