Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika leo 22/07/2024 amezindua Mafunzo ya mapitio na tathmini ya sera ya Jinsia, Walemavu na ushirikishwaji wa Wanawake, Washa ambayo itapitia upya na kuleta mabadiliko chanya kwenye sera ya awali.
Wakati wao wanatumbuana na kulogana, Chama makini kiko kwenye masuala Muhimu, sasa kazi ni kwenu Wananchi kuamua
Mungu Ibariki Chadema
Wakati wao wanatumbuana na kulogana, Chama makini kiko kwenye masuala Muhimu, sasa kazi ni kwenu Wananchi kuamua
Mungu Ibariki Chadema