Pre GE2025 Dar: CHADEMA yafungua Warsha kupitia upya sera ya Jinsia na Walemavu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika leo 22/07/2024 amezindua Mafunzo ya mapitio na tathmini ya sera ya Jinsia, Walemavu na ushirikishwaji wa Wanawake, Washa ambayo itapitia upya na kuleta mabadiliko chanya kwenye sera ya awali.

Wakati wao wanatumbuana na kulogana, Chama makini kiko kwenye masuala Muhimu, sasa kazi ni kwenu Wananchi kuamua


Mungu Ibariki Chadema
 
Hivi nani mwanachadema harisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…