Dar City to sink in next five decades.

Aise, umenifanya niwaze sana. Wacha niendelee kujiwekeza huku kanda ya kaskazini
 
Wasizame waingereza, wajapani, waje wazame wabongo ??????
Unafikiri Mungu ni mjinga kiasi hicho ???
 
Bora ungesema kisiwa kama Unguja au Pemba kinazama japo bado haina uzito, Dar inayozama ni ipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…