Papa Mopao
JF-Expert Member
- Oct 7, 2009
- 4,153
- 2,647
Ndio maana tumeruhusu wawekezaji ili watu wenye idea kama zako muweze kufanya bongo ili nayo iwe kama mamtoni. Watanzania wengi wenye idea hawana mtaji na wenye mtaji hawana idea, take the oppotunity to the reality pamoja tunaweza.
Remember every good idea can start with you.
Nimezunguka maeneo ya kupata kitu 'Entetainment' nimegundua bado haziridhishi kwa sababu Entertainment za hapa Bongo especially dar si za kupumzisha akili ndo maana kuna wingi wa stress miongoni mwa wakazi wa Dar.Entertainment nyingi ni za pombe na vidosho.
Bado kuna upungufu wa kupata entertainment za kutosha na zenye kubadilisha akili ikawa fresh.Nchi zilizoendelea kwenye entertainment wamejitahidi na wako mbali sana jamani angalau kwetu huku kuwe na hayo!
I didn't know you can sometimes talk some sense into someone! Au ndio mambo ya 2010?!Sasa si utuambie basi entertainment za namna gani hazipo? Haya mambo ya ku-generalize saa nyingine hayasaidii kitu, weka nondo hapa full size Yaani Dar imekosa A, ..B,.... C,.... nk. Sio kutoa porojo tu.
JF where we dare to talk openly. Wasije wakasema we aren't great thinkers? khe khe khe khe
I didn't know you can sometimes talk some sense into someone! Au ndio mambo ya 2010?!
Sasa si utuambie basi entertainment za namna gani hazipo? Haya mambo ya ku-generalize saa nyingine hayasaidii kitu, weka nondo hapa full size Yaani Dar imekosa A, ..B,.... C,.... nk. Sio kutoa porojo tu.
JF where we dare to talk openly. Wasije wakasema we aren't great thinkers? khe khe khe khe
Sasa si utuambie basi entertainment za namna gani hazipo? Haya mambo ya ku-generalize saa nyingine hayasaidii kitu, weka nondo hapa full size Yaani Dar imekosa A, ..B,.... C,.... nk. Sio kutoa porojo tu.
JF where we dare to talk openly. Wasije wakasema we aren't great thinkers? khe khe khe khe
Papa Mopao kwani wewe 'entertainment' unai define vipi? Mimi binafsi naamini 'entertainment' ni kitu ambacho ni personal, it is in one's mind. Unachokiita 'entertainment' wewe kwangu mimi kinaweza kuwa kero. So in general you are not being fair ukisema Dar hakuna entertainment, labda utuambie unajisemea wewe binafsi.
Mimi niko majuu miaka mingi lakini nikuambie, there's no place like home, the minute nikitia mguu tu pale JK airport- 'entertainments' zangu zinaanza. Talk about being reunited with my beloved relatives and old good friends, mademu wa kumwaga wazuriiii! Kakilimanjaro ka bariiiidi, kitimoto mbuzi choma! Ugali matembele na dagaa wa mbilimbi kwa pembeni, jioni naenda zangu Ngwasuma, Msondo Ilala au kwa wazee wa masauti.........Hiyo ni siku moja tu, bado kesho yake na keshokutwa! Weee acha bwana, usipime kabisa!
Sio lazima uiguse, wakati mwingine unaingia kiwanja unaagiza kanywaji kako bariidi unakaa angle unatakasa macho tu ukirudi home umaliza uzushi bafuni- entertainment ya kutosha, priceless!Hmmmmm! Wabongo kwa nanino!
Sio lazima uiguse, wakati mwingine unaingia kiwanja unaagiza kanywaji kako bariidi unakaa angle unatakasa macho tu ukirudi home umaliza uzushi bafuni- entertainment ya kutosha, priceless!