Yatashukaje bei?
Sisi badala ya kuimport na kuuza magari, sisi tunaziunda
now that to prove a point na kupata kiki lazima uilete on kenya board karibu.....Huu ni mradi wa kuweka sehemu moja ya kuuza na kununua magari. Upo Kigamboni. Kuanzia mwaka 2018 magari yote yatapatikana hapo.
Sisi tulianza 'unda' magari kitambo sana (70's), ninyi mmeanza juzi tuu imekuwa nogwa.Sisi badala ya kuimport na kuuza magari, sisi tunaziunda
Mbaya zaidi hiyo Mobious ni Mali ya muzungu 100%, wakati huku vijana wa JKT wameanza kuunda kitambo kweli.Sisi tulianza 'unda' magari kitambo sana (70's), ninyi mmeanza juzi tuu imekuwa nogwa.
huu ni wakati wa kufikiria kuwa na assembling industries na sio maeneo ya kuuzia magariDetails zina onyesha kuna maeneo ya kujengwa viwanda vya magari pia yametengwa.