LGE2024 Dar es Salaam: Chama cha ACT Wazalendo kimeshinda uenyekiti wa mtaa wa Nyambwela

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Hatimaye Chama cha ACT Wazalendo wamenyakuwa kiti cha uwenyekiti moja wapo wa mtaa ndani ya Jiji la Dar es Salaam.

Tuendelea kusubiri wapi tena watachukua nafasi
====================
Chama cha @ACTwazalendo kimeshinda uenyekiti wa mtaa wa Nyambwela ulioko kata ya Tandika, Jimbo la Temeke mkoani Dar es Salaam kupitia kwa aliyekuwa mgombea wake, Mussa Bakary Mussa.

Soma Pia: Dar es Salaam: Matukio yanayojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 27, 2024

Kutokana na matokeo hayo, sasa Mwenyekiti wa Mtaa na wajumbe wote wa Serikali ya Mtaa huo wanatoka ACT Wazalendo.

 
Safi sana ukijiandaa unashinda sio porojo na uzushi mwingi!
 
Hizo ni ngome za CUF, hapo ni CUF ndio imeshinda kwa ticket ya ACT.
 
Write your reply...ukiwa na hoja kwa wananchi utapata unacho hitaji safi sana act.
 
Kuna Kila dalili ACT Wazalendo kikawa chama Kikuu Cha Upinzani na Mimi nakubalina nao Kwa sababu Huwa Wana hoja mbadala zinazoeleweka na sio kama wale wengine walalamishi.👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DC4nZ8gC9Dj/?igsh=MXRlbHN3bHE4Nng1YQ==
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…