Dar es Salaam City in Photos

NDINDA

Platinum Member
Joined
Apr 4, 2011
Posts
10,572
Reaction score
48,607
 

Attachments

  • 4493676979_f15f9d7918_z.jpg
    54.2 KB · Views: 14,728
Ni kweli pia ni kati ya majiji unplanned,nashauri ingefaa wangeunganisha Bagamoyo,kibaha na sehemu ya morogoro na sehemu ya tanga then utengenezwe satellite city(jiji la kisasa ambalo ni planned),halafu zihamishwe wizara zote zihamishiwe huko kwani ni dhahiri KUHAMIA DODOMA nadhani imekuwa ngumu.
NB; mfano mzuri Nigeria walihamisha mji mkuu toka LAGOS hadi ABUJA.
 


Siyo ngumu,nia ya watawala ni kutaka kukaa ikulu ya Magogoni,wakizungukwa na wizara.
 
mi nashauri tupate utawala mpya ili tuwape meno wenye akili watupangie jiji letu...akina magufuli wamejaribu wakaambiwa "kaa chini"
 

angalia hiyo majengo mengi yanazidi kujengwa, vipo huko chini, barabara na sewage system, pia mradi wa mabasi yaendayo kasi unaendeleaje kwa aliye na data, asante
 

hii ya zamani sana, yaani hata mafuta house ilikua bado haijakamilika, sasa kuna EXIM TOWER NA EXPRESS HOTEL bado haijakamilika pia kuna HOLIDAY INN, mbele ya mafuta kuna NMB house, ELITE TOWER ambayo itakamilika muda si mrefu pia,
angalia hilo eneo sasa hivi
 
naombeni kuuliza, hapa picha mnapost vipi? mbona mi kila nikipost kanaonekana kadogo? msaada kwenye tuta jamani:help:

mkuu, right click image huko ulikoitoa, then chagua 'copy image url'.
halafu hapa JF kwenye sehemu ya ku-post, unaclick insert image', kile kibox kinacho-pop up, una-paste ile link..unakuwa umemaliza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…