Dar es Salaam City in Photos

THE AMBASSADOR LOUNGE @ BENJAMIN MKAPA TOWER, MEZZANINE FLOOR​
MICHUZI: THE AMBASSADOR LOUNGE @ BENJAMIN MKAPA TOWER, MEZZANINE FLOOR OPENING SOON!







The Ambassador Lounge is conveniently located at Benjamin Mkapa Tower, Mezzanine Floor, P.O. Box 2879, Dar Es Salaam, Tanzania.
Tel +255652286333, 0764988482,
Email: marketing@jbbelmonthotel.com www.jbbelmonthotel.com
 
Hallo Ndinda! naona umekuwa kimya kwa muda mrefu! Tupe updates za miradi ya barabara especially Dar kwani foleni inataisha. Vipi maendeleo ya Dart??!

Mkuu Mimi nipo karibia daily humu jamvini , kuhusu DART au mradi wa mabasi ya haraka gonga hapa DAR ES SALAAM | Rapid Transit Bus Network - Page 8 - SkyscraperCity au nenda katika business forum ya jamvini humu jf na bonyeza major projects za Tanzania na. Updates Kama Kawasaki mkuu, karibu sana
 
Mkuu nashukuru kwa hizo link! Lakini mkuu Dart haifiki Mbezi wakati foleni ya Mbezi inafanana na ya Ubungo siku za nyuma. Sasa je Mkuu hujasikia fununu za kupanualiwa barabara ya Morogoro?Ngoja sasa nifuate hizo link!!
 
mkuu nashukuru kwa hizo link! Lakini mkuu dart haifiki mbezi wakati foleni ya mbezi inafanana na ya ubungo siku za nyuma. Sasa je mkuu hujasikia fununu za kupanualiwa barabara ya morogoro?ngoja sasa nifuate hizo link!!


mkuu kuhusu mbezi bado sijui chochote ila kazi ya kujenga barabara sasa hivi imeshafikamitaa ya kimara
 
sikuwahi kudhani dsm inaweza kuwa hivyo kwenye aerial photo, muonekano wake ni mzuri sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…