Dar es Salaam City in Photos

Waafrikana bana. Hamna hata chembe ya originality. Mnabandika picha walizopiga Wazungu kila kukicha, halafu hamchoki kusifiana kwa uhodari wenu wa kuiba intellectual property za wengine.
 
Waafrikana bana. Hamna hata chembe ya originality. Mnabandika picha walizopiga Wazungu kila kukicha, halafu hamchoki kusifiana kwa uhodari wenu wa kuiba intellectual property za wengine.

It doesn't matter mkuu, sasa kila mtu Tanzania akiamua kupiga picha zake mwenyewe si itakuwa mvuruganyo humu mkuu. Ndio maana we need to learn sharing, na huyu kamanda Ndinda anastahili sifa mingi sana kwa kuwa loyal na hii nchi nzuri yenye vivutio vya ajabu. Wache atunyofolee tujionee the beauty of Tanzania, well done Ndinda! keep on bringin them!!!
 
Mvurugano gani huo unao zungumzia?

Kama mmeamua kuchangia maada hii basi angalau pigeni picha zenu wenyewe, siyo kila siku mnaenda flickr na google image search kuiba kazi za Wazungu.
 
Waafrikana bana. Hamna hata chembe ya originality. Mnabandika picha walizopiga Wazungu kila kukicha, halafu hamchoki kusifiana kwa uhodari wenu wa kuiba intellectual property za wengine.

kakuambia nani picha zote zimepigwa nawazungu? generalization ni kitu kibaya sana, halafu hapo kwenye nyekundu haapo, ukiangalia vizuri picha zote zilizobandiwa humu, kuna link zilipotoka au jina la mpiga picha, huo sio wizi, na kma kufanya hivi ni wizi, hivi watu wanaoandika paper mbalimbali na kusoma vitabu na literature review mbalimbali na mwisho wa vitabu vyao au paper zao wakaandika bibliography au source za matrial waliyotumia pia utaita wizi, hapa tunachukua picha ya mtu yeyote kama inaendana na thread yetu, tunaiweka hapa na kutaja mpiga picha, huwezi kudai eti picha hizi ni wazungu wamepiga wakati picha nyingi zinatoka kwa wanablog wa kitanzania, yaani wewe hata issamichuzi mzee wa globu ya jamii umemfanya mzungu? halafu unaonekana kukerwa na tunachofanya hapa, kama hupendi si ukae kimya tuu, sio kila kiyu kin manufaa kwa kila mtu, we kama hupendi kaa kimya wanaopenda watainjoy au kuna kitu wanaweza kujifunza, kitu ambacho wewe hujagundua kina mafunzo flani hapa. wacha hiyo bana, humu tunashowcase jiji letu la dar, Dar ni kama uso wa Tanzania.
 
Blog Africa | Travel Blog | The Top 10 Most Liveable Cities in Africa

Flickr 上 Osse Greca Sinare 的 City of Dar es Salaam
 
NICE PIC Hivi inakuwaje wakati naishi Dar nilipaona pa kawaid sana ila sasa baada ya kuhamishiwa mkoa natamani sana kurudi Bongo jamani na joto lake????
 
Last edited by a moderator:
hivi, hii inavyosema hapo juu kwenye post yako kuwa JF senior expert member ina maanisha nini mkuu?
 
hivi, hii inavyosema hapo juu kwenye post yako kuwa JF senior expert member ina maanisha nini mkuu?

:smile: MKUU MI SINA UHAKIKA LABDA INAMAANISHA NIPO HAPA MUDA KIDOGO :smile:
 
Kwa hali inavyoendelea jiji la dar es saalam litakua nje ya utaratibu, lazima 2fikirie kitakachotokea kwa hali inayoendelea, kwa kifupi jiji lipanuliwe na si kulundikana sehemu moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…