MichazPipoz
JF-Expert Member
- Aug 2, 2013
- 533
- 150
cjaona hata sehem ya kutisha, yaan kamji kachafu magorofa marefu yako mawili 2 hakana mpangilio. ccm wamekula ela adi wameshindwa kujenga mji. Bora nsyale kukutukuju!
Inategemeana na msemaji, kuhusu mpangilio nakubaliana na wewe 100% kuhusu magorofa mawili, naweza kubisha kidogo, pia hakuna pa kutisha inategemaana na msemaji na maoni yake, anayetoka dubai, new york, shanghai, au hata cape town, kwa kweli dar ni vumbi tupu kwake, lakini mmatumbi wa east africa kama mimi naoma kuna pendeza kidogo, ki african standars IMO
mpaka mwisho wa mwaka huu 2014 dar haitakua na vijengo viwili tuu , angalia baadhi ya hayo niliyopost juu na renders ake hapa chini, sijaweka yale ambayo ujenzi utyaanza hivi punde , haya ni yale ambao ujenzi umefikia zaidi ya 40%
MIPINI YETU:cheers:
On the African coast, music thrives in a commercial capital.
The American daily newspaper, which founded and continuously published in New York City since September 18, 1851, writes:
Tanzania may be best known for the snow-capped peaks of Mount Kilimanjaro and the game-packed plains of the Serengeti, but the real pulse of the country is found in its largest city, Dar es Salaam. An eclectic mix of music echoes through the beach clubs, open-air bars and nightclubs of this Indian Ocean coastal city. Old-school dance music competes with Swahili hip-hop and traditional drumming, all drawing from the city's African, Indian and Arab influences. Add in the street food, the beaches and the fact that the year-old African low-cost carrier Fastjet uses Dar as its hub, and it's easy to see that this commercial capital is more than a stopover on the way to Tanzania's natural splendor. It is an African metropolis coming into its own.
Mbona mi sioni?!
Hizo picha za PSPF hapo juu ni za zamani kidogo, kwa sasa PSPF TOWERS karibu yanakamilika kabisa.
Hizo picha za PSPF hapo juu ni za zamani kidogo, kwa sasa PSPF TOWERS karibu yanakamilika kabisa.