Tanzania hakuna plan ya mpango miji, ujenzi holela umekithiri,DSM lazima ipangwe vizuri kwani ndio image ya Tanzania hivyo. Plan iielekezwe zaidi pembezoni mwa mji sio katikati ya mji. Naamini kwa speed ya Mhe Lukuvi Jiji la Dsm litakuwa lenye kuvutia kuliko miji yote East Africa.
DAR'S FISH EYE
REPOST cause photobucket got busted ! 🙂
^^ SITE FOR MZIZIMA TOWERS 35+33 FLS
Miss twin towers..
Kwa nini unafikiri hizo satellite cities zitafanikiwa ikiwa Dodoma imetushinda?Ni kweli pia ni kati ya majiji unplanned,nashauri ingefaa wangeunganisha Bagamoyo,kibaha na sehemu ya morogoro na sehemu ya tanga then utengenezwe satellite city(jiji la kisasa ambalo ni planned),halafu zihamishwe wizara zote zihamishiwe huko kwani ni dhahiri KUHAMIA DODOMA nadhani imekuwa ngumu.
NB; mfano mzuri Nigeria walihamisha mji mkuu toka LAGOS hadi ABUJA.
Hahaha kitu kina tokaaa[emoji112] [emoji112] [emoji112] [emoji112] [emoji112]FROM KARIAKOO ROOFTOP
Umeme ulikata kwa muda tuPicha zazuzua sana. Juzi nilikuwa Dar, ni kiza totorooooo. Hakuna street lights!