Akili mgando, mwenzako amejitahidi na kupoteza muda wake, camera na so so kwa ajili ya kukuletea muonekano mzuri wa mji ulivyo, we una criticize, low minded....Leta na za Manzese, kigogo plus Tandale we proud of what we have
Asante mkuu35fl
Itpndeza, km posta mpya pkajengwa jengo refu piaThe view from Mzizima towers by indaressalaam, on Flickr
Tena mkuu hapo pangeunganisha na lile eneo la Embassy hotel zamani na kitatoka kitu hata cha floor 50 hukoKweli, hilo jengo dogo lipigwe tu nyundo, lipishe kikangua anga ,
Wacha Hasira, tuletee vitu hivyo.... vya kigogo manzese. .. wengine hatuvijuiPost, hii ni forum kila mtu anaweza post, usiwe unaagiza tu, kuwa wa mchango katika forum hii.
Wacha Hasira, tuletee vitu hivyo.... vya kigogo manzese. .. wengine hatuvijui