Jengo gani hili? Sam Nujoma Road?Ujenzi unaendelea
Aya mkuu wanaenda Dom plan yako soon itahappenNi kweli pia ni kati ya majiji unplanned,nashauri ingefaa wangeunganisha Bagamoyo,kibaha na sehemu ya morogoro na sehemu ya tanga then utengenezwe satellite city(jiji la kisasa ambalo ni planned),halafu zihamishwe wizara zote zihamishiwe huko kwani ni dhahiri KUHAMIA DODOMA nadhani imekuwa ngumu.
NB; mfano mzuri Nigeria walihamisha mji mkuu toka LAGOS hadi ABUJA.
Mbona majengo ya Dar hayana taa namna hiyo bhana....
Hii fakeDar es Salaam skyline by Dan Sloan, on Flickr