2017 bado mambo ni yale yale kama 2011, tunaweza kutegemea haya haya 2025 pia!hayo maghorofa ni lazima yawe na drainage/sewerage system inayokidhi, pia infrastructures on how the city centre connects/links with surrounding neighborhoods maana huko katikati wanakaa 'waungwana'
How is that fake photo? Majengo hayana taa? sasa pakiwa giza wanawasha nini? mishumaaa?Mbona majengo ya Dar hayana taa namna hiyo bhana....
Fake photos....
Physically hovyo....
Okay nimekuelewa mkuu...How is that fake photo? Majengo hayana taa? sasa pakiwa giza wanawasha nini? mishumaaa?
Hiyo inaitwa Long Exposure Photography, Tena Blue hour hapo.
ikiwa giza zaidi taa za magari zitaonekana hivi
From Raha tower rooftop by indaressalaam, on Flickr
From Raha tower rooftop by indaressalaam, on Flickr
From Raha tower rooftop by indaressalaam, on Flickr
Mji unahamia Dodoma, so piga kimyaUNAKUA BILA PLANNING ...! its a disaster in making..! hutuwezi kuwa dunia ya kwanza unless hizo nyumba zinavunjwa..! TOO BAD
Grand hotel
Uko vizuri! Big up
Jiji la maraha