bado mpaka leo hujajua mjomba ?naombeni kuuliza, hapa picha mnapost vipi? mbona mi kila nikipost kanaonekana kadogo? msaada kwenye tuta jamani:help:
Hii ni nzuri kwa sisi wa mikoani kuijua Daresalama.
Wekeni picha nyingi zaidi tufanye utalii wa ndani.
Tuijue Dar japo kidogo.
Kivipi Mkuu??.Doh, huu uzi umekufa! Ulikuwa moja ya nyuzi zenye maana sana kwa diaspora.