Dar es salaam city is a trash when u compared to Windhoek city of Namibia

Don't fool yourself brah. As a matter of fact, we are too far economically, socially, politically compared to your country. Tanzanians are very incompetent in all aspects of life. Your system of education is miserable. That might be a curse from God as you got no something to be proud of.

Get screwed!
 
Leo Umeingia choo cha kike [emoji23][emoji23][emoji23]
Hapa angalia list ya dangerous cities in Africa


Hapa angalia unemployment rate http://worldpopulationreview.com/countries/unemployment-by-country/

 
Stop fooling yourself [emoji23][emoji23][emoji23]
Uchumi wa Kenya ni wa kwenye makaratasi ndio maana hamuwezi kujenga chochote na pesa yenu hadi mkope,
Uchumi gani huo kila mwaka mnapewa misaada ya chakula,
Mnapewa misaada na nchi jangwa UAE malory yanakuja hadi ikulu,
Uchumi gani huo kila mwaka unemployment rate inaongezeka?
Uchumi upi huo kila mwaka mnapewa misaada ya chakula?
Mbona huduma zenu muhimu za kijamii ni mbovu mno?
Mbona masikini wa Tanzania ana unafuu zaidi kuliko masikini wa kenya?


 
Who told you? We have a giant economy compared to your miserable economy. And it is not a paper-based economy but it is a realistic one. And everyone in East Africa knows that Kenya is a middle one compared to your unknown econmy.
 
Si huwa mnajisifia mna uchumi mkubwa? [emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa mbona mnajisifia mna uchumi mkubwa alafu kila mwaka mnapewa misaada ya chakula kutokana na kushindwa kulisha wananchi wenu?

Yaani unajisifia una pesa alafu njaa bado inakutwanga si ujinga wa kiwango cha lami huu,
Uchumi wetu ni mdogo lakini hatupewi misaada ya chakula karne hii kama nyie kwa sababu watanzania sio wazembe kama nyie,
Leo mbona Umeingia choo cha kike [emoji23][emoji23][emoji23]

Who told you? We have a giant economy compared to your miserable economy. And it is not a paper-based economy but it is a realistic one. And everyone in East Africa knows that Kenya is a middle one compared to your unknown econmy.
 
Tanzanians are very stupid with A week mind.

The capital A is your mistake. Go learn English niqqa.
 
Leo Umeingia choo cha kike [emoji23][emoji23][emoji23] fungua hizi link hapa
Get screwed!

As I said, Tanzanians are very stupid and incompetent in all aspects of life as you have proved my sister.
 
Get screwed!

As I said, Tanzanians are very stupid and incompetent in all aspects of life as you have proved my sister.
That's your opinion niqqa. Wewe ni Mtanzania kama mimi with a broken mind. Si ajabu ni jobless wewe so unajifariji na Kiingereza chako cha ugoko.

As a matter of fact, your English is poor.
 
Next ugombee wewe, tuone kama na wewe utaweza hata kujenga vyoo vya stand.
 
Kwahiyo hata kiswahili ulishasahau!
Au yale ya mkuru
Mwabhudodiii.
What are you talking about? I'm a credible source brother. The only place/city which is safe to stay in Tanzania is Arusha but not in Dar es Salaam. During the rainy season, the entire streets of the aforesaid city are stinking (become a nuisance).
 
Hahahaaaaa
Duuh yaani Wakenya na Watanzania kwa kuparuanaa hahahaaaaaa.
Lakini ndiyo safii utakaaje na jirani hata msitaniane banaa
 
AfricaTongashili, Freedomland, Goreangab, Okahandja Park, Okuryangava, hizi ni slums kubwa Windhoek
Buruguni ,Temeke ,Manzese , Tandale,Kwa Mnyamani,Mbagala ,Kijichi,Tandika, Mwananyamala etc are major slums of Dar es Slum.
 
Kubishana na huyo RAYAN THE DON ni kumpa bichwa tuu, anataka kuwatoa akili nyote...

ni heri mngemuacha abwabwaje tuu

Kuna mtu mmoja humu jukwaani alikua na tabia kama zake bwana Colloh-mzii, so raia za kibongo wakawa mnakaushia tuu kimya hata ku quote reply yake walikua hawafanyi hivo... akaja na ID nyingine raia wakagundua asa hivi katoka nduki

Kwahiyo na huyu RAYAN yajayo yanafurahisha [emoji16][emoji16]
 
Buruguni ,Temeke ,Manzese , Tandale,Kwa Mnyamani,Mbagala ,Kijichi,Tandika, Mwananyamala etc are major slums of Dar es Slum.
Temeke is a municipal Acha usenge,kijichi is not bad by any metric just get your facts right
 
Nilimpa za uso amekimbia [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…