:glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy:Katika pita pita yangu kwenye social media nimeona rundo la mastaa wa tz Marekani nikagundua ni Afrima Awards. .ila nika check nominations nikaona Kiba yuko kwenye category nyingi ..ila sasa chakushangaza Hajaenda Marekani..ila Kuanzia wanjera,Vanessa Ayo B12 wote wamesafiri..
Kuna kitu hatukijui hapa??
:glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy:Kiba kakosa naul
😂😂 Dallas sio Kariakoo kila mtu aendeKing wa watu hawezi kukosa nauli jamani,
ha ha ha ha