Dar es Salaam ina eneo kubwa zaidi ya Nairobi

That's exactly what I'm saying, the British didn't do as much as you are led to believe for Nairobi and more so for Kenya. The town they left then in form of Nairobi and the city and plan it follows now are very divergent. Nairobi ulioiona in the 70s was as I said earlier, a product of Kenyan technocrats whose rapid development started shortly after independence. Hizo estate zote uliona, kina south b, south c, Jericho, satellite, langata, Madaraka, zilipangwa na kujengwa at around 1970-77. Moi alipoingia all development ground to a halt. Mzungu alikuwa lavington, Karen na hurlingham, muhindi naye katupwa parklands wakati wa ukoloni. That's pretty much all the developed area Nairobi had at independence.
 
Nani alikwambia Dar watu wamejenga kwenye viwanja vya watu? Ww ni chizi eeeh? Au unaugua? Hebu cheki vitu hivyo

Cku nyingine wakubwa wakiongea mtoto mdogo Nenda ukalale

~Cmb

wewe kweli kiazi, wapi nimeandika watu wanajenga kwenye viwanja vya watu?! punguza kukurupuka bwamdogo, kama ulikuwa na hamu ya kupost magorofa ungepost tu bila kuniquote kijinga hivi
 
Yuko Mbeya yuatafuta ngozi ya Albino

Wewe unashupalia sana albino, ukae ukijua albino association toka nchini mwenu wametoa tamko kwamba Tz imepiga hatua kubwa sana kwenye kuwalinda albino, na sasa huo ukatili haramu unafanyika zaidi Mozambique, Tz as always, we fix our issues diligently and we dont brag, sasa unapaswa ku funga domo lako kuhusu hii issue, sababu hatupo huko tena na hatutarudi, it's history now.
 
Pako vzuri
Hiyo bank of Tanzania Tunaipatia hii, KCB bank out of competition
Ama hii ya Coop Bank

Ama hii IM Bank,

Yaani ukija bank pekee Nairobi ntakupa tower after another. Zitakuwa nyingi kuliko towers zote hapo Dar combined
 
Acha ujinga.
 
Hii ni account nyingine ya sammuel999. I bet
 
Hiyo bank of Tanzania Tunaipatia hii, KCB bank out of competition
Ama hii ya Coop Bank

Ama hii IM Bank,

Yaani ukija bank pekee Nairobi ntakupa tower after another. Zitakuwa nyingi kuliko towers zote hapo Dar combined
Za kawaida mbona
 
Hehehee...labda inyeshe mvua ya mchele....
 
Majumba ya Nairobi sio vile yanaonekana kwa nje ndani kuna mambo ambayo Tz mtaishi kabla kufikia. Una mfano hili hapa

Lakini ndani ice skating, Ice hocking na polar conditions

Hii ni entrance

Majumba ya Nairobi sio vile yanaonekana kwa nje ndani kuna mambo ambayo Tz mtaishi kabla kufikia. Una mfano hili hapa

Lakini ndani ice skating, Ice hocking na polar conditions

Hii ni entrance

Nimekuambia wewe kinachikusumbua ni ushamba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…