Dar es Salaam International Trade Fair - Sabasaba 2015

BwanaX

Senior Member
Joined
Mar 5, 2015
Posts
123
Reaction score
46
Habari wadau?

Kuna mwenye idea, juu ya viingilio vya saba saba ya Mwaka huu?
  1. Kiingilio cha 10 days - mtu mzima mmoja
  2. Kiingilio cha 10 days - Gari ndogo.
Na mwisho ningependa kujuwa kuwa ni maonyesha ya ngapi?

Aksante.
 
Nmepata majibu ya maswali machache. thanks.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…