CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 8,542
- 18,340
Kwakuwa Jamaa wakija Dar es Salaam wanakuja 'Kujilipua' namaanisha kuja 'Kushambulia' mwanzo mwisho kwakuwa hawana cha Kupoteza nashauri Kikosi cha Simba SC kibadilishwe kidogo ili 'Kuwachanganya' haraka kisha tukishapata matokeo ya Kutuvusha ( Ushindi ) basi Kikosi kibadilishwe dakika 30 au 15 za mwisho.Kuelekea mchezo wa Marudio kati ya simba na plateu ya Nigeria kombe la Klabu bingwa Afrika.
1.Aishi Manula.
2.Shomari Kapombe.
3.Mohamed Hussein.
4.Pascal Wawa.
5.Joash Onyango.
6.Erasto Nyoni.
7.Benard Morison.
8.Jonas Mkude.
9. John Boko.
10.Clotas Chama.
11. Lusi Misquison.
SIMBA KUIBUKA NA USHINDI WA MAGOLI 3- 0
wale wataalam wenzangu kama GENTAMYCINE utabiri wenu ni muhimu tunausubiri sana......
fafanuaMohammed Hussein
Kwakua ana kadi ya njano si vema akacheza hii mechi.
Kwakuwa Jamaa wakija Dar es Salaam wanakuja 'Kujilipua' namaanisha kuja 'Kushambulia' mwanzo mwisho kwakuwa hawana cha Kupoteza nashauri Kikosi cha Simba SC kibadilishwe kidogo ili 'Kuwachanganya' haraka kisha tukishapata matokeo ya Kutuvusha ( Ushindi ) basi Kikosi kibadilishwe dakika 30 au 15 za mwisho.
Napendekeza Siku hiyo Kikosi cha Kuanza kiwe hiki hapa na ambacho nakiweka hapa
Matokeo na Wafungaji yote utayakuta Uwanjani siku husika.Vipi Matokeo na wafungaji mkuu??????
Mimi naweka Hela Wewe kama vipi Wewe niwekee tu 'Mlango' wako wa 'Kusi' Mkuu.Plateau wakifungwa ndani nje na hawa wazee litakuwa jambo la kushangaza sana
Mimi naweka Hela Wewe kama vipi Wewe niwekee tu 'Mlango' wako wa 'Kusi' Mkuu.
Matokeo na Wafungaji yote utayakuta Uwanjani siku husika.