Dar es Salaam: Kuhamishwa kwa ofisi ya TRA idara ya walipakodi wakubwa

Nimesikia mna mpango wa kutengeza matajiri ambao ni wafanya kazi wenu

Ni kweli au uongo?
 
TRA sasa hivi mnamuendelezo wa kuhama majengo sana. Ilala mmehamia Diamond plaza, na huku Mwenge/Kinondoni mmehama napo sijui shida nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…