comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
🤣🤣🤣 Oyaa wale boda boda WA mama wanasema hakuna maandamano Ile sasa ndio UEFA CHAMPIONS LEAGUE uzeeni mzeeeDar oya oya, ila fainali uzeeni (except bodaboda)
Acha kuharibu starehe za watu mzeeAzuma
Mtoto WA 2007 na wine 🍷Raha ya hapo
ni ipi?
Bado haujui bata mkuuMtoto WA 2007 na wine 🍷
Utakula wapi comrade kipepe!Kuna sehemu hapa npo na mtoto aisee, Mali mpya kabisa
Watu wa mikoan huko uzeni mashamba na mifugo mje mjini aisee
Wine gani hiyo Mkuu...
Dar gani hii ambayo mtu ukimkopesha elfu kumi anazima simu.Kuna sehemu hapa npo na mtoto aisee, Mali mpya kabisa
Watu wa mikoan huko uzeni mashamba na mifugo mje mjini aisee
🤣🤣🤣Dar gani hii ambayo mtu ukimkopesha elfu kumi anazima simu.
Dompo nashusha ya 3 sasa tupo mtumbiliWine
Wine gani hiyo Mkuu...
Hapahapa mjiniUtakula wapi comrade kipepe!
Dah kwa hiyo unataka ukaikamie kisawa sawaDompo nashusha ya 3 sasa tupo mtumbili
SIO poa aisee bundesligaDah kwa hiyo unataka ukaikamie kisawa sawa
Hahaha angalia usije feli,maana pombe nayo inatakiwa unywe kiasi ukiwa na shooSIO poa aisee bundesliga